Ripoti ya ABNA- Idara ya usalama ya Misri imedokeza kuwa, walinzi walipokagua eneo la mlipuko huo waligundua bomu lingine ambalo halikulipuka.
Msemaji wa jeshi la Misri Bw. Ahmed Ali ameema, hili ni shambulizi la kigaidi dhidi ya wananchi wa Misri.
Mlipuko wa mabomu yaliyotegwa kwenye gari umetokea jana karibu na jengo la idara ya upelelezi ya jeshi la Misri mjini Ismailia, na kusababisha watu wasiopungua 6 kujeruhiwa.